Nyumba 1,000 Dar kuunganishiwa gesi

Dodoma. Serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) ipo katika mpango wa kuunganisha gesi nyumba zaidi ya 1,000 katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam ambapo kati ya nyumba hizo, nyumba 279 zitapatikana Wilaya ya Kinondoni. Takwimu hizo zimetolewa leo Alhamisi April 17, 2025 na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,…

Read More

Hamisa ampa Ancelotti Aziz Ki aikomboe Madrid

Mwanamitindo nchini ambaye pia ni shabiki wa Real Madrid, Hamisa Mobetto ameonyesha kuhuzunishwa na matokeo iliyoyapata timu yake dhidi ya Arsenal kwenye mchezo wa robo fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Arsenal uliochezwa kwenye uwanja wa Santiago Bernabeu. Madrid ilipoteza mchezo kwa kipigo cha 2-1, shukrani kwa mabao ya Bukayo Saka na Gabriel Martinelli…

Read More

Taasisi 78 hatarini kushambuliwa kimtandao

Dar/Arusha. Taasisi 78 za umma ziko hatarini kukumbana na mashambulizi ya kimtandao, kuhatarisha taarifa nyeti pamoja na ufanisi wa utendaji kazi wa taasisi husika endapo zisiporekebisha usalama wao wa mtandao. Hayo yanajiri baada ya ukaguzi uliofanywa na Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) mwaka wa ukaguzi wa mifumo ya teknolojia…

Read More