Chadema waburuzana mahakamani, kesi kuanza leo
Dar es Salaam. Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutoka Zanzibar, wamekiburuza mahakamani chama hicho pamoja na mambo mengine wakilalamikia upendeleo katika mgawanyo wa rasilimali za chama pamoja na stahiki nyinginezo. Kesi hiyo ya madai namba ya mwaka 2025 imefunguliwa na Said Issa Mohamed, ambaye anajitambulisha kama mwanachama na…