Yanga, Inonga kuna jambo! iko hivi

KIKOSI cha Yanga kimeanza maandalizi ya mchezo wa ugenini wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Fountain Gate, lakini kukiwa na taarifa kwamba mabosi wa klabu hiyo wameanza hesabu za kumrejesha nchini beki wa zamani wa Simba, Henock Inonga anayekipiga kwa sasa FAR Rabat ya Morocco. Inonga alikuwa kwenye hesabu za Yanga hata kabla ya kutua…

Read More

Maagizo ya Rais Mwinyi kwa mabalozi waliokwenda kumuaga

Dar es Salaam. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amewasisitiza mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika mataifa ya nje kuzingatia diplomasia ya uchumi na fursa za uwekezaji zilizopo. Rais Mwinyi amesema hayo leo Aprili 16, 2025 Ikulu, Zanzibar alipozungumza na mabalozi wa Tanzania katika mataifa ya Rwanda, Zimbabwe, Sweden na Msumbiji waliokwenda kumuaga kabla ya kwenda kwenye…

Read More

Makalla: CCM haijiweki yenyewe madarakani

Newala. Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema dhana ya baadhi ya watu vikiwamo vyama vya siasa kudhani kuwa chama chake kinajiweka chenyewe madarakani ni potofu. Amesisitiza kwamba ushindi wa CCM mara zote hutokana na kazizinazofanywa na viongozi wake wa chama na Serikali. Akizungumza leo…

Read More

Warioba ajitosa kusaka suluhu INEC, Chadema

Dar es Salaam. Jawabu la swali kuhusu mwafaka kati ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, linatafutwa chini ya usimamizi wa Jaji Joseph Warioba na wazee wenzake. Hatua hiyo imekuja baada ya Chadema kutohudhuria kikao wala kusaini kanuni hizo ilipoalikwa pamoja…

Read More

DC Sanga atoa neno kwa wakulima, wafanyabiashara

Iringa. Katika kuhakikisha changamoto zinazowakabili wananchi kwenye sekta ya biashara, kilimo na ufugaji zinapatiwa suluhisho, Mkuu wa Wilaya ya Kilolo, Rebeca Sanga amewahamasisha wakazi wa Mkoa wa Iringa na maeneo ya jirani kushiriki katika maonesho ya biashara, viwanda na kilimo yatakayofanyika kwenye viwanja vya Polisi Mtua, Ilula. Amesema kila sekta itakuwa na wataalamu walio tayari…

Read More

Kafulila atoa kauli wanaodhani ‘ubia ni kuuza nchi’

Mwanza. Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila amesema nchi kuingia ubia na wawekezaji wa kigeni katika miradi inayotekelezwa, haimaanishi imeuzwa kama ilivyo mitazamo ya baadhi ya wananchi. Akizungumza leo Jumatano Aprili 16, 2025 katika kongamano la Kitaifa lililohusu ubia wa sekta ya umma na…

Read More

CAG atamani wabunge wajadili ripoti yake sasa

Dodoma. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere ameomba mkutano wa 19 wa Bunge unaoendelea utenge muda wa kujadili ripoti yake kwa mwaka wa fedha 2023/24 iliyowasilishwa mapema bungeni leo Jumatano, Aprili 16, 2025. Kichere ametoa ombi hilo leo Jumatano April 16, 2025 alipozungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma wakati…

Read More