Mongella awatwika zigo wanawake nchi kujitegemea, amkumbuka Nyerere
Dar es Salaam. Mwanasiasa mkongwe na mwanaharakati wa uwezeshaji wa wanawake nchini, Getrude Mongella amesema uamuzi wa Rais wa Marekani, Donald Trump wa kusitisha misaada ya maendeleo kwa nchi nyingi duniani, umemkumbusha falsafa ya kujitegemea ya Hayati Mwalimu Julius Nyerere. Trump alitoa uamuzi huo siku moja tu baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Marekani huku…