Kocha Mwingereza aitabiria Simba makubwa
KOCHA wa zamani wa Simba, Dylan Kerr aliyepo kwa sasa Marekani kwa mapumziko, ameshindwa kujizuia na kuwatabiria Wekundu wa Msimbazi kufika fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika akitaja sababu zitakazowabeba mbele ya Stellenbosch ya Afrika Kusini. Kocha huyo aliajiriwa na Simba katikati ya msimu wa 2014-2015 kisha kutimuliwa baada ya kupoteza ubingwa wa…