
Wizi wa mtandaoni waliza Watanzania Sh5.3 bilioni
Dar es Salaam. Tanzania imepoteza Sh5.345 bilioni kutokana na udanganyifu mwaka 2024, matukio yanayohusishwa na udanganyifu huo ni uhamishaji wa fedha kupitia simu za mkononi, benki, na utoaji wa fedha kwa ATM, kama inavyoonyeshwa na ripoti mpya ya Takwimu za Uhalifu na Ajali za Barabarani. Kiasi hicho kinaashiria ongezeko kutoka Sh5.067 bilioni zilizoripotiwa mwaka uliopita,…