WASIRA AKUTANA NA KADINALI PROTASE RUGAMBWA TABORA

Na Mwandishi Wetu MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na Muadhama Kadinali Protase Rugambwa katika Jimbo Kuu Katoliki la Tabora. Wasira amekutana na Kadinali Rugambwa leo Aprili 16, 2025 katika Jimbo Kuu Katoliki Tabora akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama na utekelezaji wa Ilani…

Read More

RAIS WA ZANZIBAR AAFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WA TANZANIA WANAOWAKILISHI TANZANIA KATIKA NCHI ZA SWEDEN,RWANDA,ZIMBABWE NA MSUMBIJI

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Balozi wa Tanzania Nchini Rwanda Mhe. Balozi Dkt.Habibu Kambanga, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 16-4-2025 na (kushoto ) Balozi wa Tanzania Nchini Sweden Mhe. Balozi Mahole Matinya.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na…

Read More

ZAIDI YA WANANCHI 2500 KIJIJI CHA TUNGAMAA WILAYANI PANGANI KUNUFAIKA NA MRADI WA MAJI

Na Oscar Assenga,Pangani ZAIDI ya Wananchi 2500 wa Kijiji cha Tungamaa wilayani Pangani mkoani Tanga watanufaika na mradi wa Maji baada ya Serikali kutekeleza mradi katika eneo hilo uliogharimu kiasi cha Milioni 500 kupitia Wakala wa Maji Vijijini (RUWASA)Akizungumza wakati akizindua mradi huo ambao umetekelezwa kwa muda mfupi kwa kutumia Force Akaunti, kwa niaba ya…

Read More

SERIKALI YAZINDUA MRADI WA MAJI KIJIJI CHA TUNGAMAA PANGANI, WANANCHI ZAIDI YA 2500 KUNUFAIKA

Na Oscar Assenga,Pangani ZAIDI ya Wananchi 2500 wa Kijiji cha Tungamaa wilayani Pangani mkoani Tanga watanufaika na mradi wa Maji baada ya Serikali kutekeleza mradi katika eneo hilo uliogharimu kiasi cha Milioni 500 kupitia Wakala wa Maji Vijijini (RUWASA) Akizungumza wakati akizindua mradi huo ambao umetekelezwa kwa muda mfupi kwa kutumia Force Akaunti, kwa niaba…

Read More

FEDHA ZISIZOTUMIKA HADI MWISHO WA MWAKA KURUDI MFUKO MKUU WA SERIKALI

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akijibu swali bungeni jijini Dodoma, lililoulizwa na Mbunge wa Tandahimba Mhe. Katani Ahmad Katani, aliyetaka kujua lini Serikali itarejesha fedha za miradi zilizochukuliwa na Hazina. (Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Fedha) ………………. Na. Josephine Majura, WF, Dodoma Serikali imesema kuwa fedha ambazo hazijatumika…

Read More

WAZIRI MKUU AKAGUA ATHARI ZA MVUA LINDI, ATOA MAELEKEZO KWA MAMENEJA WA TANROADS NCHINI

………………… Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza Mameneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS) wote nchini kuhakikisha wanakagua vipenyo vya makalvati na madaraja yote katika maeneo yao kabla na baada ya msimu wa mvua ili  kujiridhisha  kama vinapitisha maji kwa urahisi bila kuathiri barabara. Majaliwa ametoa maelekezo hayo  leo Aprili 16, 2025 mara baada ya kuwasili mkoani…

Read More

Watoto wanaoripoti matukio ya kufanyiwa ukatili kulindwa

Na Diana Byera,Missenyi. Wanafunzi na watoto ambao wako chini ya miaka 18 wilayani Missenyi mkoani Kagera,  wamehakikishiwa kuwa Siri zao wanazowasilisha katika madawati ya Polisi na Ustawi wa Jamii kuhusu ukatili unaowakumba shuleni na Majumbani zinalindwa hivyo wasiogope kutoa taarifa kwa vitisho wa Waharifu. Timu ya Kampeni ya msaada wa kisheria ya mama Samia “MSLAC”…

Read More