Nabi avujisha faili la Wasauz, Fadlu ashindwe mwenyewe
KUNA sababu tatu ambazo kocha wa zamani wa Yanga, Nasreddine Nabi amezitaja ambazo zinaipa Simba nafasi kubwa ya kuitoa Stellenbosch ya Afrika Kusini. Nabi ambaye kwa sasa anaifundisha Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini, amesema anawafahamu vizuri Stellenbosch kwani hivi karibuni amecheza nao mara tatu na kuwapiga nje ndani. Kocha huyo raia wa Tunisia, katika mechi…