Wawili mbaroni kukutwa na meno ya tembo

Mbeya. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na Mamlaka ya Usimamizi Wanyamapori Tanzania (Tawa) linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kukutwa na vipande 12 vya meno ya tembo katika Wilaya ya Kyela na Mbarali mkoani Mbeya. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga leo Jumanne Aprili 15, 2025 akizungumza na waandishi wa…

Read More

SERIKALI KUENDELEA KUCHUKUA HATUA MADHUBUTI KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI- NYONGO

NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Stanslaus Haroon Nyongo (Mb) amesema kuwa Serikali imeendelea kuchukua hatua madhubuti za kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji kwa lengo la kuwawezesha Watanzania na wageni kushiriki kikamilifu katika shughuli za kiuchumi nchini kwa kufanya mapitio ya jumla ya sheria 66 za kisekta. Nyongo ameyasema hayo…

Read More

MAWAKILI WA SERIKALI WASISITIZWA KUISHAURI SERIKALI NA KUTENDA HAKI

📌 Dkt. Biteko asema Serikali inatambua jitihada za  Asasi za Kiraia kutoa  huduma za kisheria kwa Wananchi 📌 Rais Samia apongezwa kwa mageuzi katika huduma za sheria nchini  📌 Wanasheria wakumbushwa kuwa marafiki wa Mungu  badala ya Mahakama 📌 Dkt. Biteko ataja mikakati ya Serikali kuhakikisha huduma bora za sheria zinawafikia wananchi Ofisi ya Naibu…

Read More

WASIRA:MSIKUBALI KUYUMBISHWA NA WASIOITAKIA MEMA NCHI YETU

Na Said Mwishehe, Michuzi TV-Tabora MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewaambia Watanzania wakatae kuyumbishwa na vyama vya siasa ambavyo vinahatarisha usalama wa nchi na kusisitiza amani iliyopo si mali ya chama cha siasa bali ni tunu ya Watanzia na lazima ilindwe. Aidha, amesema ni lazima CCM iwaongoze Watanzania kuilinda…

Read More

DKT. NCHEMBA: HAKUNA SEKTA ITAKAYOKOSA FEDHA KUTOKANA NA MABALILIKO YA SERA

Na. Peter Haule, WF, Dodoma Serikali imewahakikishia Watanzania kuwa hakutakuwa na sekta itakayokosa fedha kwa sababu ya mabadiliko ya sera ya baadhi ya mataifa zinazolenga kupunguza kuyasaidia mataifa yanayoendelea ikiwemo Tanzania. Hayo yamebainishwa bungeni jijini Dodoma na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), wakati akijibu hoja za wabunge zilizojitokeza katika Bunge la…

Read More

TRC, ofisi ya mtaa wachukua hatua kivuko cha SGR

Dar es Salaam. Kutokana na kujaa maji katika karavati ambalo wananchi wanalitumia kama kivuko kupita kwenye reli ya umeme (SGR) maeneo ya Gongolamboto jijini Dar es Salaam Shirika la Reli Tanzania (TRC) na ofisi ya serikali za mitaa wamechukua hatua  kushughulikia tatizo hilo. Hayo yamesemwa leo Jumanne Aprili 15, 2025 na mwenyekiti wa Serikali ya…

Read More