RAIS SAMIA MLEZI BORA WA CHAMA CHA MAWAKILI WA SERIKALI
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Mwanasheria Mkuu wa Serikali wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Hamza Johari amemshukuru Rais Samia kwa kuendelea kukilea chama Cha Mawakili wa Serikali kwa miaka mitatu na kusema kuwa ni wajibu wao sasa kukilinda na kuhakikisha kinafikia malengo yake. Mwanasheria Mkuu wa Serikali ameyazungumza hayo leo Aprili 15, 2025…