NELSON MANDELA KUWAJENGEA WATAALAM WA KILIMO KUPITIA TEKNOLOJIA ZA KIDIGITALI
Makamu Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Prof. Maulilio Kipanyula ( kulia) na Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw. Gerald Mweli ( kushoto) wakionyesha hati ya makubaliano ya ushirikiano mara baada kusaini Jijini Dodoma. Na. Alex Sonna-DODOMA Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) na…