Kila bao, Mpanzu anampa kocha laki
ELLIE Mpanzu amewafunga mdomo wale wote waliokuwa wakimpopoa wakati alipoanza kuitumikia Simba iliyomsajili kupitia dirisha dogo, huku mabao aliyoanza kuyafunga akiwa na kikosi hicho yameanza kulipa kwa kocha binafsi wa mazoezi wa kiungo mshambuliaji huyo kutoka DR Congo. Nyota huyo anayemudu kucheza wingi zote mbili, aliwekeana ahadi na kocha Mohamed Mrishona ‘Xavi’ kwamba atakuwa akimlipa…