Kabla hujabadili tahasusi, zingatia haya

Serikali kupitia Ofisi ya Rais-Tamisemi imetangaza fursa ya mwezi mmoja kwa wanafunzi waliohitimu kidato cha nne mwaka 2024 kubadili tahasusi au kozi wanazosomea sasa. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma mapema mwezi huu, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Tamisemi, Mohamed Mchengerwa alisema hatua hiyo inatoa fursa kwa wanafunzi kubadilisha machaguo ya tahasusi ili kutimiza…

Read More

Tanzania inavyohitaji mfumo wa elimu mviringo

Nimewahi kuzungumzia jinsi mababu zetu walivyowalea watoto na wajukuu zao ili waelewe kwamba ulimwengu wote una asili ya kuhusiana, kutegemeana, na kuunganika. Nimekuwa nikiita hii ni falsafa ya mviringo ambao hauna budi kulindwa ili usivunjike au kutenganishwa kwa namna yoyote. Tuchukue mfano wa gurudumu la baiskeli ambalo ni mviringo. Gurudumu hilo likitoboka au kukatika, baiskeli…

Read More

Hizi hapa mbinu za kukabiliana na homa ya mtihani

Baadhi ya wanafunzi wamekuwa  wakifanya vibaya mitihani yao ya kishule au ya kitaifa kwa sababu tu ya hofu ya mtihani. Hofu ya mtihani ni wasiwasi anaoupata mwanafunzi wakati wa maandalizi ya mitihani yake au anapokuwa ndani ya chumba cha mtihani. Mwanafunzi huyu anawaza juu ya mitihani yake, je atafaulu au  la au kama mitihani itakuwa…

Read More

Sababu Tanzania kuwekeza kwenye uandishi bunifu

Kwa mara nyingine, Serikali kupitia Taasisi ya Elimu Tanzania (TET),  imetoa tuzo kwa washindi wa tuzo za Mwalimu Nyerere za Uandishi Bunifu. Katika hafla hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam, Hussein Abdalla alitwaa tuzo ya taifa upande wa ushairi, huku Tyatawelu Kingu akiibuka wa  kwanza katika kipengele cha tamthiliya. Tune Salim amekuwa mshindi wa kwanza katika…

Read More

WANANCHI WAMKATAA RASMI GAMBO ARUSHA WADAI NI MWONGO SANA,WAMTAKA MAKONDA PIA WATISHIA KUTOSHIRIKI UCHAGUZI KISA KIVUKO!

WANANCHI wa Kata ya Sokon one,Jijini Arusha wameibua tafrani baada ya kujikusanya na kutishia kutopiga kura katika uchaguzi mkuu ujao wakiwa na madai ya kutaka kujengewa kivuko baada ya kuahidiwa kwa muda mrefu bila mafanikio. Aidha wananchi hao wakiongea kwa jaziba wamemkataa mbunge wao Mrisho Gambo wakidai hajawasaidia chochote na kuahidi kutomchagua tena iwapo atagombea …

Read More

UHURU USIO NA MIPAKA NI FUJO-PROF. KABUDI.

……………. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi  amesema  Vyombo vya habari vimechangia katika utekelezaji wa 4R za Rais  Dkt. Samia Suluhu Hassan  kwakuwa  ni sekta muhimu katika kupeleka ujumbe kwa jamii. Aidha, Prof. Kabudi  amewataka Wanahabari kufanyakazi kwa kuzingatia maadili , Uhuru  na taratibu za taaluma hiyo ili kupunguza  changamoto zinaweza…

Read More