TAHARUKI YATANDA MERERANI WANAAPOLO WAHOFIWA KUFIA MIGODINI ,FAMILIA ZAWEKA KAMBI LANGO KUU LA KUINGILIA KUTAKA NDUGU ZAO,MIGODI KADHAA YATAJWA KUHUSIKA!

 Na Joseph Ngilisho MERERANI  WACHIMBAJI watatu wadogo wa madini Tanzanite (Wanaapolo) Mererani ,wanahofiwa kufa kwa kufukiwa ndani ya migodi ya madini hayo katika mji mdogo wa  Mererani wilayani Simanjiro Mkoani Manyara,baada ya wazazi wao kutowaona kwa siku kadhaa na kuandamana katika lango kuu la Mererani wakitaka kupata taarifa za ndugu zao. Taarifa za kutoonekana kwa…

Read More

Fursa mpya za kiuchumi, ajira kwa wakazi wa Mbeya

Mbeya. Mradi wa upimaji ardhi katika maeneo ya Utengule na Nsalala uliokuwa chini ya Tanganyika Packers na TBC Iwambi mkoani Mbeya ambao ulianza Juni, 2024, unatarajia kukamilika Mei mwaka huu, huku ukitajwa kufungua fursa nyingi za kiuchumi na ajira. Pia kukamilika kwa mradi huo utafanya Mkoa wa Mbeya haswa Wilaya za Mbeya Vijijini na Mbeya…

Read More

Mchezo wa Kasino Mafia Clash Ushindi Mkononi

  TUNAKULETEA mpambano wa mafia ambapo utakutana na bonasi za kasino zisizoweza kushindwa. Ni wakati wa kuchagua upande utakaokupeleka kwenye mizunguko ya mara nyingi. Furahia sherehe ya kipekee. Mafia Clash ni mchezo wa kasino ya mtandaoni inaotoa bonasi kibao kwa wachezaji, sloti hii imetengenezwa Hacksaw Gaming. Mchezo huu kutoka Meridianbet kasino ya mtandaoni una thamani…

Read More

KITUO CHA AFYA URU KUSINI CHAWA FARAJA KWA WANANCHI

NA WILLIUM PAUL, MOSHI. WANANCHI wa kata ya Uru Kusini katika Jimbo la Moshi vijijini mkoani Kilimanjaro wamenufaika na umaliziaji wa kituo cha Afya Uru kusini na kuondokana na adha ya muda mrefu ya kutembea umbali mrefu kutafuta huduma za kitabibu. Kituo hicho hadi kukamilika serikali imetoa zaidi ya milioni 500 ambapo kwa sasa kunatoa…

Read More