Kabudi atoa matumaini ‘Kariakoo Derby’ kuchezwa
Baada ya mazungumzo ya timu za Simba na Yanga, serikali imesema kuwa imepanga kuzungumza na wadhamini wa Ligi Kuu kuhusu mchezo baina ya timu hizo ‘Kariakoo Derby’ na kuwataka Watanzania na mashabiki wa kuwa na subira wakati mazungumzo hayo yakiendelea. Dabi ya Kariakoo ilipangwa kuchezwa Machi 8, 2025 lakini haikuchezwa baada ya kuahirishwa na Bodi…