Juma Abdul ataja ‘Top 5’ ya mastraika hatari
BEKI wa zamani wa Mtibwa Sugar, Yanga na Singida Big Stars, Juma Abdul ameitaja 5-Bora ya washambuliaji aliowashudia ubora wao kwa namna walivyokuwa wanawaliza mabeki waliokuwa wanaidharau mipira iliyokufa na kujikuta wakiruhusu mabao ya kizembe. Aliwataja washambuliaji hao waliowahi kuibuka vinara wa mabao Ligi Kuu Bara, Mussa Hassan Mgosi aliyeibuka mfungaji Bora msimu wa 2019/10…