Hii ndio Stellenbosch iliyoingia anga za Simba
Unaweza kusema ni kijana barobaro au vijana wa 2000 kutokana na umri wao kwenye soka tangu wabadilishwe jina kutoka Vasco Da Gama hadi kuitwa Stellenbosch FC. Vijana hawa wameweza kujitengenezea jina kubwa ndani ya soka la Afrika Kusini tangu wafanikiwe kupanda daraja kutoka National Fisrt Division hadi Ligi Kuu ya DStv Premiership. Mafanikio haya yalikuwa…