Wananchi wa Tanzania wapuuzeni wanasiasa wanaotaka msusie uchaguzi mkuu
Na Diana Byera,Bukob. Waziri wa Katiba na Sheria Dkt.Damas Ndumbalo amewataka Watanzania Kupuuza maneno ya Wanasiasa wanaopita maeneo mbalimbali nchini na kueneza habari za uchochezi kuhusu maswala ya Uchaguzi mkuu na kudai kuwa siasa hizo zinavunja Katiba ya Nchi. Waziri Dkt. Ndubaro amesema kuwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeweka bayana sababu zinazoweza…