Mbunge mwingine aomba gongo ya korosho ihalalishwe
Dodoma. Mbunge wa Ndanda (CCM), Cecil Mwambe leo Jumatatu April 14, 2025 bungeni jijini Dodoma ameihoji Serikali kama haioni haja ya kutafsiri sheria ili kuruhusu wakulima wa korosho wazalishe gongo. “Je Serikali haioni haja ya kutafsiri Sheria ya Intoxication Liquors Act 1968 ili kutoa fursa kwa wakulima kupata kipato kwenye gongo ya mabibo,” ameuliza Mwambe….