SERIKALI YATENGA BILIONI 96.8 KUPELEKA MIRADI YA UMEME VIJIJINI.
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Naibu Waziri,Wizara ya Nishati Judith Kapinga amesema kuwa Serikali inafahamu changamoto za kukosa umeme zilizopo katika Vijiji na Vitongoji ndio maana inaweka juhudi kubwa katika kuhakikisha ifikapo 2030 Vitingoji vyote viwe vimepata umeme. Naibu Waziri Kapinga ameyasema hayo Jijini Dodoma wilayani Chamwino katika Hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa kusambaza…