Nestory Irankunda mambo magumu | Mwanaspoti
MAMBO yanaoneka kuwa magumu kwa winga mwenye asili ya Tanzania, Nestory Irankunda anayekipiga Grasshopper Club Zurich ya Uswisi kwa mkopo akitokea Bayern Munich. Winga huyo ambaye kwa sasa ana uraia wa Australia, alijiunga na mabingwa hao wa zamani wa Ujerumani akitokea Adelaide United ya Ujerumani aliyoitumikia kwenye timu za vijana za U-19, 21. Irankunda alishindwa…