UCHAGUZI MKUU KUOMBEWA JUNE 21 WACHUNGAJI WATOA KAULI KUELEKEA SIKU HIYO
**** Wachungaji wa Makanisa ya Pentekoste Jijini Dar es Salaam wamesema, wameichagua siku ya June 21 mwaka huu kuwa ya kuuombea uchaguzi mkuu wa urais, wabunge na madiwani ili uwe wa haki na amani. Wakizungumza Jijini Dar es Salaam katika kikao cha maandalizi kuelekea maombi hayo ya kitaifa yatakayohusisha mikoa 26 nchini, Mwenyekiti wa Makanisa…