DK Mpango: Kutofungamana na mataifa mengine kumetuweka salama
Dodoma. Serikali imesema mpango wa kutofungamana na upande wowote, umeendelea kuifanya Tanzania kutokuwa na uadui na mataifa mengine. Kauli hiyo imetolewa leo Jumapili Aprili 13, 2025 na Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango alipohutubia kwenye kumbukumbu ya miaka 103 ya hayati Mwalimu Julius Nyerere ambaye aliyefariki dunia mwaka 1999. Maadhimisho hayo yameratibiwa na Tasisi ya…