Sababu kiungo Simba Queens kutocheza zatajwa
KIUNGO wa Simba Queens, Saiki Atinuke imefichuyka sababu za kukosa mechi zote za msimu huu hadi sasa ni majeraha na matatizo ya kifamilia. Ligi Kuu ya Wanawake inakaribia mwisho na kiungo huyo Mnigeria aliyehamia kutoka Yanga Princes ambako alikuwa na nafasi ya kudumu kikosini katika michezo 14 ya ligi hadi sasa hajacheza mchezo wowote na…