
Wabunge waibua hoja tano bajeti Dk Biteko
Dodoma. Mambo matano yamejitokeza wakati wabunge wakijadili makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Nishati kwa mwaka 2025/26, miongoni mwao ni pamoja na suala la kukatika mara kwa mara kwa umeme. Mambo mengine ni fidia kwa wanaopisha miradi ya umeme, mitungi ya gesi kutupwa baada ya kutumika, fedha za CSR za bwawa la Mwalimu…