TADED:HAKUNA CHAMA CHA KUZUIA UCHAGUZI MKUU USIFANYIKE
******** Na Mwandishi Wetu. Taasisi ya Demokrasia na Maendeleo Tanzania (TADED) imesema kuwa hakuna chama au taasisi ya kufanya kuzuia uchaguazi Mkuu ambao hufanyika kila baada ya miaka mitano. Akizungumza jijini Dar es Salaam Mwenyekiti wa TADED Chalila Kibuda amesema kuwa kwa mujubu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupiga kura ni haki…