CCM Zanzibar yatoa onyo kwa watia nia kabla ya muda
Unguja. Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, kimesema hakitamvumilia mwanachama yeyote ambaye ataanza kujipitisha majimboni na kuanza kupiga kampeni kabla ya wakati. Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dk Mohammed Said Dimwa ametoa kauli hiyo Aprili 12, 2025 wakati akizungumza na kamati za siasa za wadi, Wilaya ya Kusini ikiwa ni ziara ya kukagua uhai wa…