Kichuya azitaja mechi tano za moto bara

WINGA wa JKT Tanzania, Shiza Kichuya amesema katika mechi tano zilizosalia kumaliza msimu huu anaziona ni za jasho na damu kutokana na kila timu kuwa na hesabu kali na ugumu hazichagui uwanja wa nyumbani wala ugenini. Kichuya kacheza mechi 17 kati ya mechi 25 iliyocheza timu hiyo ikiwa n dakika 1151 akifunga mabao mawili na…

Read More

Chama la Wana lapiga mkwara Championship

STAND United ‘Chama la Wana’ imesema dakika 90 iliyoiangalia Yanga imeona ugumu ulipo ikieleza kuwa licha ya kuiheshimu lakini haitaingia uwanjani kinyonge. Timu hiyo iliyowahi kutamba Ligi Kuu kabla ya kushuka misimu mitano nyuma inaikabili Yanga keshokutwa, Jumanne katika mchezo wa robo fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho. Chama la Wana kwa sasa lipo…

Read More

Lazaro aachiwa msala Coastal Union

COASTAL Union iko sokoni kusaka kocha mpya wa kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao kutokana na aliyekuwepo Joseph Lazaro kutokuwa na leseni yenye uwezo wa kuongoza timu, lakini kwa sasa ataendelea kuiongoza. Kikosi hicho kwa sasa kipo chini ya Lazaro baada ya kutimuliwa kwa Juma Mwambusi ambaye alijiunga na Coastal Union Oktoba 23 mwaka…

Read More

Ahukumiwa kunyongwa kwa mauaji gesti

Arusha. Elia Wekwe ametiwa hatiani na Mahakama na kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kumuua Kulwa James katika nyumba ya kulala wageni. Mauaji hayo yalifanyika Desemba 28, 2023 katika eneo la Unyanyembe, wilayani Maswa, Mkoa wa Simiyu. Kwa mujibu wa ushahidi uliowasilishwa mahakamani, Elia aliwasiliana na Kulwa (marehemu) wakakubaliana kwenda kufanya mapenzi na kwamba atampa Sh50,…

Read More