CHADEMA KUTOSHIRIKI UCHAGUZI KWA MIAKA MITANO
***” Vyama 18 vya siasa ikiwemo CCM na ACT Wazalendo vimeshiriki utiaji saini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Udiwani unaotarajiwa kufanyika October, 2025 huku Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kikikataa kushiriki zoezi hilo. Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele amesema CHADEMA walipata taarifa ya…