Asasi za kirai kujadili maisha bila Trump
Dar es Salaam. Wakati wiki ya Azaki mwaka huu ikitarajiwa kufanyika Juni, moja ya jambo litakaloangaliwa ni njia gani zinaweza kutumika ili waweze kufikia malengo yao hasa katika kipindi hiki cha uwapo wa tishio la kusitishwa kwa misaada kutoka nje. Hili linakwenda kufanyika wakati ambao Marekani imeendelea kuweka vibano na kusitishwa kwa misaada kwenda nchi…