Rais Samia akutana na Sir Jim Ratcliffe Ikulu Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Ijumaa, Aprili 11, 2025 amekutana na mmiliki wa Manchester United, Sir Jim Ratcliffe, ikulu, Dar es Salaam. Katika kikao hicho, Rais Samia na Ratcliffe wamefanya mazungumzo ya ushirikiano katika masuala ya utalii na michezo. “Katika mazungumzo yao Rais Samia amemshukuru Sir Jim Ratcliffe kupitia Taasisi…

Read More

Simba yang’ara tuzo za Machi

Dar es Salaam. Tuzo za Ligi Kuu mwezi Machi zimetawaliwa na Simba ambayo imenyakua tuzo ya Kocha Bora wa mwezi na tuzo ya mchezaji bora wa mwezi. Taarifa iliyotolewa na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) leo imeeleza kuwa kocha bora wa Machi ni Fadlu Davids na mchezaji bora ni Steven Mukwala. “MSHAMBULIAJI wa timu…

Read More

TGNP YARATIBU KIKAO CHA KUJADILI BAJETI INAYOZINGATIA USAWA WA KIJINSIA KUELEKEA DIRA YA MAENDELEO YA TAIFA

 Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya TGNP, Bi. Gema Akilimali akiteta jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP, Bi. Lilian Liundi wakati wa kikao muhimu cha kujadili bajeti ya mwaka 2025/26 inayojali usawa wa kijinsia. ******* Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) umeongoza kikao muhimu cha kujadili bajeti ya mwaka 2025/26 inayojali usawa wa kijinsia, ikiwa ni…

Read More

Ferguson, Amorim watuma salamu za heshima kwa Rais Samia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Ijumaa, Aprili 11, 2025 amekutana na mmiliki wa Manchester United, Sir Jim Ratcliffe, ikulu, Dar es Salaam. Katika kikao hicho, Rais Samia na Ratcliffe wamefanya mazungumzo ya ushirikiano katika masuala ya utalii na michezo. “Katika mazungumzo yao Rais Samia amemshukuru Sir Jim Ratcliffe kupitia Taasisi…

Read More

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA MMILIKI WA MANCHESTER UNITED

………………. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mmiliki wa Klabu ya Mpira wa Miguu ya Manchester United ya Uingereza Sir Jim Ratcliffe, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Aprili, 2025. Katika mazungumzo yao Rais Dkt. Samia amemshukuru Sir Jim Ratcliffe kupitia Taasisi yake ya…

Read More

Banka aukubali mziki wa Kagoma

KIUNGO wa zamani wa Simba na Yanga, Mohammed Banka amesema anakoshwa na uchezaji wa kiungo mkabaji wa Simba, Yusuf Kagoma anayekaba mtu na mtu jambo ambalo ni gumu kwa wapinzani kupenya eneo analolicheza. Banka alikuwa anacheza kiungo namba sita kama Kagoma jambo linalomshawishi kumfuatilia zaidi aina ya ukabaji wake na kutuliza presha eneo la kati….

Read More