Barabara 17 Kariakoo, Upanga kusukwa kwa lami
Dar es Salaam. Wakati utekelezaji wa mkataba wa awali wa ujenzi wa barabara kupitia awamu ya pili ya Mradi wa Uendelezaji Jiji la Dar es Salaam (DMDP II) ukiwa hatua ya ununuzi ya vifaa, Ofisi ya Rais Tamisemi imeingia makubaliano mapya yatakayohusisha ujenzi wa barabara 17 za Upanga na Kariakoo, zenye urefu wa kilometa 7.38….