Ndoa za utotoni zinavyozima ndoto za mabinti Meatu-1

Meatu. Katika mizunguko yangu ndani ya Kijiji cha Nyanza wilayani Meatu, mkoani Simiyu mbele ya nyumba iliyojengwa kwa matofali yasiyochomwa na kuezekwa kwa nyasi, namuona binti aliyeketi juu ya ndoo ya bluu. Nakaribishwa na binti, ambaye nilimuuliza baba na mama wapo? Akajibu yupo baba, ndipo nilimuomba amuite. Alifanya hivyo, kisha yeye akabaki ndani. Nilipohoji sababu…

Read More

Rais Mwinyi ataja mafanikio ziara ya Uingereza

Unguja. Rais waHussein Mwinyi amesema ziara yake nchini Uingereza imekuwa ya mafanikio, hivyo baada ya muda mfupi Zanzibar itarajie kupokea wawekezaji katika sekta zinazoendana na sera ya uchumi wa buluu. Amesema maeneo makuu matatu ambayo yanatarajiwa kupata uwekezaji ni utalii kwa upana wake, uvuvi na ukulima wa mwani na mafuta na gesi. Dk Mwinyi aliondoka…

Read More

Uhuru ni Wako Cheza Book of Eskimo Kasino

*Sloti ya Book of Eskimo MSIMU wa Sikukuu wa Krismas na Mwaka mpya hutawaliwa na theluji wenyewe huita White Chrismas, wakiwa na maana ya kwamba Krismasi nyeupe. Meridianbet Kasino inakuja na mchezo wa sloti wenye mazingira ya ubaridi ambapo ili kushinda pesa nyingi unapaswa kuwa mvumilivu kwenye mazingira ya ubaridi. Sloti ya Book of Eskimo…

Read More

TAIKO ATOA MSAADA WA MATENKI MATATU YA MAJI

Na Mwandishi wetu, Simanjiro MDAU wa maendeleo wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Taiko Kulunju Ole Tipa Munimuni ametoa msaada wa matenki matatu ya kuhifadhi maji ya ujazo wa lita 15,000 yenye thamani ya shilingi milioni 3. Matenki hayo matatu ambayo kila moja ina ujazo wa lita 5,000 ambapo moja limepelekwa shule ya sekondari Loiborsiret…

Read More

Vijana 500 wa Mwanza wamepewa mchongo kujikwamua

Mwanza. Vijana zaidi ya 500 wa Manispaa ya Ilemela na Jiji la Mwanza wanatarajiwa kunufaika na mafunzo ya uchakataji taka, stadi za maisha, ujuzi wa kidijitali, mitaji na vifaa, katika mpango wa kuwawezesha kujiajiri na kukuza biashara kwa njia ya teknolojia. Mafanikio hayo yanakuja kupitia Programu ya Green and Smart Cities SASA yenye thamani ya…

Read More

Makada CCM watoa angalizo kujirudia ya 2015 Moshi Vijijini

Moshi. Joto la kusaka ubunge katika uchaguzi mkuu wa Oktoba, 2025 kwenye Jimbo la Moshi Vijijini, mkoani Kilimanjaro limezidi kupanda baadhi ya makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wakitajwa kuingia katika mbio kuliwania. Jimbo hilo linaloongozwa na Profesa Patrick Ndakidemi (CCM) ni miongoni mwa majimbo tisa ya uchaguzi yaliyopo mkoani Kilimanjaro. Licha ya muda bado…

Read More

Othman aonya wagombea wenye masilahi binafsi 

Unguja. Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo (Taifa), Othman Masoud Othman amesema chama hicho hakitawavumilia watu wenye malengo binafsi katika kipindi cha kutafuta wagombea wa kukiwakilisha katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu. Othman ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, amesema hayo leo Ijumaa Aprili 11, 2025 alipozungumza na viongozi wa chama hicho…

Read More