RAIS SAMIA KUZUNDUA BENKI YA USHIRIKA APRILI 28, 2025

-WANUNUZI WA MAZAO WASIOKUWA NA AKAUNTI YA BENKI YA USHIRIKA KUNYIMWA LESENI. Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Serikali imewataka wanunuzi wa mazao makubwa ya kimkakati,kama Korosho,Tumbaku na Mikunde kufungua akaunti katika benki ya Ushirika ambayo italenga kuhudumia wakulima na wafanyabiashara wa mazao. Hatua hiyo imekuja,kutokana na serikali kutaka kuisaidia sekta ya kilimo,ili wakulima waweze kupata…

Read More

Zipa, Benki ya BPI zatia saini mkataba wa uwekezaji

Unguja. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema ushirikiano na wawekezaji wa kimatataifa hautawanufaisha wawekezaji hao pekee, badala yake unalenga kuwawezesha wafanyabiashara wa ndani kupata vifaa vya uzalishaji. Vifaa hivyo vitatumika kuwasaidia kukuza biashara na kujipanga katika soko la kimataifa. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema hayo leo Ijumaa Aprili 11, 2025 katika hotuba…

Read More

WATAALAMU WA KIMTANDAO WAKUTANA ARUSHA,WAJADILI NAMNA YA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZA KIMTANDAO.

Na Pamela Mollel,Arusha Wataalamu wanaohusika katika usalama wa mitandao kutoka Tanzania na nje ya Nchi wamekutana katika jukwaa la nne la pamoja la kujadiliana namna ambavyo mifumo itakuwa mathubuti katika kukabiliana na changamoto za kimtandao Duniani Akizungumza katika jukwaa la nne,Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Tehama Tanzania Dkt Nkundwe Mwasaga anasema kuwa wamekuwa wakikutana na…

Read More

Mahawanga ahoji elimu ya mlipakodi kwa wanawake

Dodoma. Mbunge wa Viti Maalumu, Janeth Mahawanga ameihoji Serikali ina mpango gani wa kuanzisha madarasa ya Elimu kwa Mlipa Kodi kupitia vikundi vya wanawake wajasiriamali.Mbunge huyo amesema kutoa elimu kupitia makundi ya wanawake itasaidia elimu ya mlipakodi kuwafikia wahusika moja kwa moja na kutasaidia walipa kodi kutambua wajibu wao. Akijibu swali hilo, Naibu Waziri wa…

Read More

Kuelekea uchumi wa kidijitali Tanzania kujiimarisha usalama mtandaoni

Arusha. Tanzania imeendelea kujiimarisha na kuongeza nguvu kwenye usalama mitandao ili kukuza uchumi wa kidijitali pamoja na kuvutia wawekezaji. kupitia Shirika la Mawasiliano Duniani (ITU), imekuwa miongoni mwa nchi 47 bora zilizowekwa kwenye kundi la kwanza zenye mitandao bora salama. Hayo yamesemwa jana Alhamisi Aprili 10, 2025 na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Tehama  (ICTC)  Dk…

Read More

Kamati ya kitaifa biashara ya kaboni yapewa majukumu

Dodoma. Kamati ya Kitaifa ya Ushauri kuhusu Biashara ya Kaboni nchini imepewa jukumu la kutathmini fursa na changamoto zinazoikabili biashara hiyo ndani ya kipindi cha miezi miwili. Kadhalika, kamati hiyo imepewa jukumu la kufanya tathmini na kutoa mapendekezo kuhusu njia bora na mwenendo wa biashara ya kaboni nchini, biashara ambayo imeonekana kufanyika kiholela huku Serikali…

Read More

Umri kikomo mikopo ya vijana waongezeka

Dodoma. Serikali imeweka msimamo kuwa mikopo ya asilimia 10 katika kundi la vijana itatolewa kwa watu wenye umri wa mwisho wa miaka 45 pekee. Hata hivyo, umri huo ni nyongeza ya miaka 10 kutoka kikomo cha awali cha miaka 35, lakini kundi la wanawake halikuwa na ukomo. Kauli hiyo imetolewa bungeni leo, Ijumaa Aprili 11,…

Read More

Daraja la Godegode bado mfupa mgumu

Dodoma. Kwa mara nyingine Serikali imeshindwa kusema ni lini itaanza ujenzi wa Daraja la Godegode katika Wilaya ya Mpwapwa ambalo ni kilio cha muda mrefu. Daraja hilo ambalo linaunganisha majimbo ya Mpwapwa, Kibakwe na Kilosa na limekuwa ni tatizo la miaka mingi na wananchi wamekuwa wakikosa mawasiliano kipindi cha mvua. Mbunge wa Mpwapwa, George Malima…

Read More