PUMA ENERGY TANZANIA YACHANGIA MITUNGI YA GESI KATIKA SHUGHULI ZA MBIO ZA MWENGE WA UHURU WILAYANI CHALINZE

Puma Energy Tanzania inaendelea kushirikiana na serikali katika kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia ambapo imeshiriki katika hafla ya Mbio za Mwenge wa Uhuru katika Wilaya ya Chalinze zilizofanyika jana mkoani Pwani. Mkuu wa Kitengo wa Gesi ya PumaGas Bw. Jeffrey Nasser alikabidhi mitungi ya gesi kwa Mkuu wa Wilaya ya Chalinze Mhe. Shaibu…

Read More

Kuanguka kwa mapigano na udhibiti wa serikali huzuia Msaada wa Mtetemeko wa Myanmar – Maswala ya Ulimwenguni

Mtawa na wahasiriwa wengine wa tetemeko la Machi 28 wanatibiwa chini ya malazi nje ya Hospitali kuu ya Mandalay. Mikopo: IPS Na Guy Dinmore, waandishi wa IPS (Mandalay, Yangon, London) Ijumaa, Aprili 11, 2025 Huduma ya waandishi wa habari MALALAY, Yangon, London, Aprili 11 (IPS) – Wiki mbili baada ya tetemeko la ardhi lililoharibika kugonga…

Read More

MAWAIDHA: Mafunzo mema kupitia kisa cha Nabii Adam

Qur’an Tukufu imetaja maadili kupitia visa vya Mitume na Manabii, vinavyomhamasisha msikilizaji, na kumjengea imani thabiti itakayomwongoza katika safari yake ya kumtii Allah. Katika safu hii, nitataja kisa cha Nabii Adam (rehema na amani ziwe juu yake), ambacho kimejaa maadili ya kimaisha yanayohitaji kutumika na kila mtu ili kuboresha tabia zake. Kutaja maadili kabla ya…

Read More

Benki ya CRDB, TARURA wazindua mikopo ya Makandarasi fedha za Samia Infrastructure Bond

Utoaji wa mikopo hiyo uliozinduliwa na Waziri wa Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa jijini hapa itatolewa kupitia mfumo maalumu ujulikanao kama Samia Financing Portal, utawaunganisha wadau wote watatu yaani Benki ya CRDB, Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) na mkandarasi hivyo kupunguza muda…

Read More

NI BIASHARA NDOGO TU ILA IMEBADILI MAISHA YANGU!

Ni biashara ndogo tu ila imebadili maisha yangu! By ngilishonews.com Katika familia yetu tumezaliwa watoto 12, wakiume tukiwa saba, huku wa kike wakiwa ni watano. Tuliishi upendo kama ndugu maana ndivyo wazazi wetu walikuwa wanatusisitizia kila wakati. Jina langu ni Nelson, mtoto wa mwisho wa mzee Nyaku, katika umri wangu wa miaka 25 nimepitia mgogoro…

Read More

JOWUTA ,IFJNA THRSC WAJIPANGA KUNOA WAANDISHI WA HABARI KURIPOTI UCHAGUZI !

 JOWUTA,IFJ na THRDC kutoa mafunzo ya kuripoti uchaguzi mkuu. Ngilisho Tv,Dar es Salaam. Chama cha wafanyakazi katika vyombo vya habari nchini(JOWUTA) kwa kushirikiana na shirikisho la kimataifa la waandishi duniani(IFJ) na Mtandao wa watetezi wa haki za binaadamu(THRDC) wanatarajia kuanzia mwezi huu  kutoa mafunzo kwa waandishi wa habari nchini jinsi ya kuripoti uchaguzi mkuu wakiwa…

Read More