Sababu wanawake wa Kiluguru kuwa wababe, jasiri

Morogoro. Waluguru ni kabila kuu katika Mkoa wa Morogoro. Wanawake wa Kiluguru wametofautiana kulingana na mazingira ya maeneo wanakotoka, ambapo wanaotoka Mgeta wilayani Mvomero wanaonekana kuwa wababe, wakakamavu, wenye nguvu na misimamo kuliko wanawake wa Kiluguru kutoka maeneo mengine. Zipo sababu zinazotajwa kuwa chanzo cha wanawake wa Mgeta kuwa sifa hizo, mojawapo ikiwa ni kuwa…

Read More

Sababu wanawake wa Kiluguru kutoka Mgeta kuwa wababe, jasiri

Morogoro. Waluguru ni kabila kuu katika Mkoa wa Morogoro. Wanawake wa Kiluguru wametofautiana kulingana na mazingira ya maeneo wanakotoka, ambapo wanaotoka Mgeta wilayani Mvomero wanaonekana kuwa wababe, wakakamavu, wenye nguvu na misimamo kuliko wanawake wa Kiluguru kutoka maeneo mengine. Zipo sababu zinazotajwa kuwa chanzo cha wanawake wa Mgeta kuwa sifa hizo, mojawapo ikiwa ni kuwa…

Read More

Usiache kitunguu hiki kutibu fangasi na bakteria

Dar es Salaam. Wengi tunajua kuwa kitunguu saumu ni mojawapo ya viungo ambavyo mara nyingi hutumika kuongeza ladha na harufu nzuri katika chakula, lakini hatujui kwa undani faida zilizopo katika kitunguu hicho. Kama ulikuwa hujui, jifunze sasa. Kitunguu saumu husaidia kuzuia maambukizi yatokanayo na bakteria, baadhi ya virusi na fangasi, hasa katika utumbo, mapafu na…

Read More

TANPA WAJIFUNGIA ARUSHA KUBORESHA HUDUMA ZAO,DKT MPOKI AWATAKA KUBUNI MBINU MBADALA ZA KUPUNGUZA VIFO KWA WATOTO

 Na Joseph Ngilisho -ARUSHA  CHAMA cha wataalamu watoa dawa za usingizi na Ganzi Tiba Tanzania ( TANPA) kimekutana mkoani Arusha kwa lengo la kujadili namna ya kuondoa changamoto zilizopo kwa wataalamu hao na kuweza kuboresha utoaji wa huduma  katika idara hiyo.  Akizungumza wakati wa ufunguzi wa kongamano la  3 la kisayansi la wataalamu hao  linalofanyika…

Read More

Hii hapa mikao hatari kwa afya yako

Dar es Salaam. Siku za hivi karibuni, wagonjwa wa viungo ni wengi na hilo halihitaji utafiti mkubwa. Nenda hospitali yoyote kajionee mwenyewe. Ni kwa nini kuna wagonjwa wengi? Sababu ni nyingi, lakini mojawapo ni namna watu tunavyoishi maisha yetu ya kila siku. Umejichuguza namna unavyokaa ukiwa darasani, ofisini au uwanjani? Je, umejichunguza unavyolala na namna…

Read More

CCM HAKITAACHA KUHIMIZA AMANI,UMOJA NA UPENDO

****** Na Mwandishi Wetu, Zanzibar  Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeahidi kuendelea kuhimiza Amani, Umoja na Upendo miongoni mwa watanzania na kuwaasa watanzania wakatae kwa namna yoyote mpango wa kulivuruga Taifa lao. Vile vile chama hicho kimesisitiza kujenga nguvu ya hoja badala kutumia hoja zenye nguvu kwa ajili ya kutaka kuungwa mkono na wananchi. Katibu wa…

Read More