Beki JKT Tanzania afichua siri

BEKI wa JKT Tanzania, Wilson Nangu anavutiwa na aina ya ukabaji wa beki wa Simba, Abdulrazak Hamza na Dickson Job wa Yanga. Nangu amesema jinsi mabeki hao wanaocheza pia Taifa Stars wanavyoonyesha ukomavu wa maamuzi pindi timu wanazozitumikia zikishambuliwa, inamfanya kujifunza mambo mengi sana. Beki huyo aliyefunga mabao mawili katika Ligi Kuu msimu huu, amesema…

Read More

Kaseja azichungulia dakika 180 za kubaki

KOCHA Mkuu wa Kagera Sugar, Juma Kaseja ameshtushwa na mfululizo wa matokeo mabaya ya kikosi chake kilichopoteza mechi mbili mfululizo za ligi huku akikiri mambo yanazidi kuwa magumu kwao. Katika hesabu za kujinasua na janga la kushuka daraja, kocha huyo amesema ana mechi mbili ngumu sawa na dakika 180 dhidi ya Azam na Simba ambazo…

Read More

Kocha Al Masry: Simba inabeba ubingwa

SIMBA kila mmoja yuko kwenye kilele cha furaha baada ya timu yao kufuzu kwa mara ya kwanza nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Lakini Kocha wa Al Masry, Anis Boujelbene ametamka kitu kizito. Amesema kwamba kwa kiwango ambacho Simba imekionyesha kwenye mechi mbili alizokutana nayo kisha akiangalia mastaa wa timu hiyo ya Msimbazi na…

Read More

Simba v Stellenbosch…. Vita ya mabilionea CAF

KITENDO cha Simba kufuzu nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika huku ikienda kucheza dhidi ya Stellenbosch, ni wazi itakuwa vita ya mabilionea wawili wenye nguvu kubwa ndani ya timu hizo ambao ni Mohamed Dewji na Johann Peter Rupert. Simba imefuzu nusu fainali kwa kuiondosha Al Masry kwa penalti 4-1, wakati Stellenbosch imeifunga Zamalek bao…

Read More

RAIS SAMIA KUZINDUA BENKI YA USHIRIKA

….,……….. RAIS wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Benki ya Ushirika (CoopBankTanzania), lengo likiwa ni kufufua benki za kijamii zilizofilisika nchini. Akizungumza jana mkoani Dodoma Waziri wa Kilimo Husein Bashe, amesema Wizara ilipokea maagizo ya Rais Dkt Samia, kuhakikisha benki za kijamii zilizofilisika zinarejea na katika hatua za awali mnamo April 28 Rais…

Read More

Mkuu wa Biashara ya UN – Maswala ya Ulimwenguni

Bi Grynspan alikuwa akiongea baada ya kuongezeka kwa wasiwasi wa UN kwa athari inayoendelea kuwa na uhakika wa uchumi unaoweza kuwa hatari zaidi. Siku ya Jumanne, Katibu Mkuu wa UN, António Guterres, alisema kwamba “vita vya biashara ni mbaya sana,” na alionya kwamba athari za ushuru zinaweza kuwa “mbaya.” Ushuru ni ushuru kwa uagizaji unaokuja…

Read More

Vifo vinavyoweza kuzuia vifo vya 'meningitis' vinalenga mpango wa hatua ya wakala wa afya – maswala ya ulimwengu

Watu mahali popote, katika umri wowote wanaweza kuambukizwa na ugonjwa wa meningitis, ambayo hupitishwa kwa njia ya kupumua au matone katika mawasiliano ya karibu ya kibinadamu. Mataifa ya kipato cha chini na cha kati ni zaidi ya kuathiriwa. Kile kinachojulikana kama “ukanda wa meningitis” katika Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara huona kesi nyingi na…

Read More