UMASKINI UNAVYOATHIRI USAWA WA KIJINSIA
Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wanawake na Makundi maalumu Dkt. Dorothy Gwajima. ……………. Na Daniel Limbe,Chato “Kuna watu aina mbili ambao watakwambia huwezi kuleta mabadiliko ulimwenguni, ambaye anaogopa kujaribu kufanya jambo na yule anaehofia utampiku kwenye jambo hilo,” Ni kauli ya Mwanafalsafa wa Marekani Ray Goforce ambaye alikuwa akisisitiza jamii kufanya tafakuri njema katika harakati…