Kikwete: Samia akichaguliwa tena Taifa litaendelea kupata maendeleo makubwa
Bagamoyo. Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete, amesema Rais Samia Suluhu Hassan akichaguliwa tena katika uchaguzi mkuu ujao, Taifa litapiga hatua kubwa zaidi katika maendeleo. Na amesema anatamani katika uchaguzi mkuu huo utakaofanyika Oktoba, mwaka huu, wabunge na madiwani wengi watokane na Chama cha Mapinduzi (CCM). Rais Kiwete ameyasema hay oleo Alhamisi Aprili…