Siri Njombe, Moshi kuongoza kwa usafi miaka 10 mfululizo

Njombe/Kilimanjaro. Halmashauri ya Wilaya ya Njombe na Manispaa ya Moshi zimetaja siri ya kuendelea kuwa kinara katika mashindano ya afya na usafi wa mazingira kuwa ni ushirikishwaji wa viongozi na uwajibikaji wa timu inayosimamia usafi ngazi za vijiji. Aprili 8, 2025, katika kilele cha Wiki ya Afya, Wizara ya Afya ilitangaza matokeo ya mashindano ya…

Read More

Mkuu wa Operesheni Jeshi la Polisi Mtwara afariki dunia

Mtwara. Mkuu wa Operesheni Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara, Emmanuel Garuyamoshi amefariki dunia Aprili 9,2025 akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Misheni Ndanda. Taarifa za kifo chake zimetolewa leo Aprili 10, 2025 na Mkuu wa Jeshi la Polisi, Camillius Wambura katika kurasa za mitandao ya kijamii ya jeshi hilo. “Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP…

Read More

Mauzo ya umeme yameongezeka kwa asilimia 10

Dar es Salaam. Wakati upotevu wa umeme ukifikia asilimia 14.61 katika mwaka ulioishia 2023/2024, mauzo ya umeme yameongezeka kwa zaidi ya asilimia 10 ikilinganishwa na mwaka uliotangulia. Ripoti ya sekta ndogo ya umeme iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Maji na Mafuta (Ewura) inaonyesha kuwa upotevu wa umeme huo ni ongezeko kutoka asilimia 14.57 iliyokuwapo…

Read More

Mwanafunzi kidato cha nne adaiwa kujinyonga hadi kufa kwa waya

Bukoba. “Kareni mwanangu, sikuwahi kugombana naye zaidi ya masuala ya masomo. Alikuwa na ndoto nyingi, aliniahidi mambo mengi ya kubadilisha maisha yangu.” Hayo ni maneno ya Rose Fadhili, mkazi wa mtaa wa Nyakanyasi Mlimani katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, aliyoyatamka kwa uchungu huku akibubujikwa machozi, wakati akizungumza na Mwananchi Digital leo, Alhamisi Aprili 10,…

Read More

KESI YA LISSU UPDATES: Arudishwa rumande

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Lissu amefikishwa mahakamani hapo leo Aprili 10, 2025 saa 10: 15 alasiri na kuwekwa kwenye mahabusu iliyopo mahakamani hapo. Mwanasiasa huyo alikamatwa jana Aprili 9, 2025 wilayani Mbinga mkoani Ruvuma muda mfupi baada ya kumaliza…

Read More

Tundu Lissu Kortini kwa Uhaini. Arudishwa Rumande

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Tundu Lissu amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na kesi ya Uhaini na kuchapisha taarifa za uongo kwa lengo la kupotosha Umma. Lissu amesomewa kesi ya uhaini chini ya kifungu cha sheria cha 39(2) cha kanuni ya adhabu mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Franco Kiswaga…

Read More

Pesa Zipo na Meridianbet Leo

ALHAMISI ya kijanja na Meridianbet imefika ambapo Europa League na Conference League hatua za Robo Fainali mechi za kwanza zinapigwa leo. Timu za ushindi zipo uwanjani. Ingia na ubashiri hapa. Mapema kabisa kwenye Europa Lazio Rome atakuwa mgeni wa Bodoe/Glimt kutoka kule Norway huku mgeni wake anacheza ligi kuu ya Italia. Nafasi ya kuondoka na…

Read More