ENVAITA YAJA NA SULUHISHO LA KADI ZA MIALIKO

::::::: Na Aziza Masoud,Dar es Salaam  JAMII imetakiwa kubadilika na kuacha kutumia njia za kizamani zakualika   watu  katika matukio mbalimbali  badala yake watumie njia zakidigitali ili kuokoa muda na kupunguza usumbufu. Akizungumza jana Meneja wa Mawasiliano wa Envaita Praygod Mushi alisema utumiaji wa mialiko ya kadi kwa njia ya kidigitali unaokoa mambo mengi japokuwa watu …

Read More

Kesi moja kati ya nne za ukeketaji wa kike sasa zinazofanywa na wafanyikazi wa afya – maswala ya ulimwengu

Wakati sekta ya afya ulimwenguni kote inachukua jukumu muhimu katika kuzuia mazoezi ya unyanyasaji ya FGM na kusaidia waathirika, katika mikoa kadhaa, ushahidi unaonyesha vingine. Mnamo 2020, wastani wa wasichana na wanawake milioni 52 waliwekwa kwa FGM mikononi mwa wafanyikazi wa afya – hiyo ni karibu mmoja katika kesi nne. “Wafanyikazi wa afya lazima wawe…

Read More

Minziro: Tuna dakika 360 ngumu

KOCHA Mkuu wa Pamba Jiji, Fred Minziro amesema hatma ya timu hiyo ipo mikononi mwa mechi nne ambazo ni sawa na dakika 360 za kufungia msimu ili kujihakikishia kubaki Ligi Kuu Bara msimu ujao na ameshazungumza na wachezaji kuweza kupanga mikakati ya kibabe. Pamba imerejea Ligi Kuu msimu huu ikiwa ni zaidi ya miaka 23…

Read More

Straika Fountain atamani bao moja tu!

MAISHA hayana usawa, kwani wakati washambuliaji wa timu nyingine za Ligi Kuu Bara hususan waliopo Simba, Yanga, Azam na Singida BS wakipigia hesabu kiatu cha mfungaji bora wa msimu, hali ni tofauti kwa Hashim Omary wa Fountain Gate anayetamani angalau afunge bao moja tu. Mshambuliaji huyo chipukizi, amesema kwa vile wameshindwa kufunga bao katika mechi…

Read More

Yanga kutesti tena Kombe la Muungano

KIKOSI cha Yanga usiku wa leo kitarudi tena kwenye Uwanja wa Gombani, Pemba kuvaana na Zimamoto katika mechi ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la Muungano, ikilenga zaidi kuboresha rekodi ilizonazo kwa michuano hiyo iliyorejeshwa kuanzia mwaka jana baada ya kusimama tangu 2003. Nusu fainali hiyo ya pili baada ya ile iliyopigwa jana ikizikutanisha…

Read More