Hekaheka saa 72 barabara Dar- Kusini ilivyokatika na kurejeshwa
Lindi. Zaidi ya saa 72 zimetumika kurejesha mawasiliano ya barabara ya Dar es Salaam na mikoa ya kusini iliyokatika Aprili 6, 2025 kutokana na mvua kubwa iliyonyesha Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi. Kufuatia mvua hizo, mawasiliano yalikatika huku baadhi ya madaraja kubomoka likiwamo la Somanga-Mtama na la Mto Matandu ambalo awali liliharibiwa na mvua zilizoambatana…