WATUMISHI WA TCAA WAPONGEZWA KWA BARAZA LA WAFANYAKAZI LENYE TIJA
Watumishi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) wamepongezwa kwa kuwa moja ya taasisi za umma zinazoendesha Baraza la Wafanyakazi lenye tija, ambalo limeendelea kuwa kichocheo cha maamuzi makubwa ya kuboresha huduma za usafiri wa anga nchini. Pongezi hizo zimetolewa na Msajili wa Hazina, Bw. Nehemia Mchechu, wakati wa ufunguzi wa Baraza la Pili…