Othman: Tumechoka kuuwana kwa kisingizio cha uchaguzi

Unguja. Chama cha ACT-Wazalendo kime wataka baadhi ya viongozi kuacha tabia ya kuwagombanisha Wazanzibar na kusababisha kuuana kwa kisingizio cha Uchaguzi. Kimewataka viongozi hao kuacha mara moja kutekeleza nia zao ovu kupitia mwamvuli huo. Hayo yamesemwa leo Alhamis Aprili 10, 2025 na Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Othman Masoud Othman alipofanya mazungumzo na viongozi wa…

Read More

Jukwaa la Athari za Jinsia za CGIAR zinahitaji 'njia ya ujasiri' katika utafiti wa kilimo – maswala ya ulimwengu

Mkurugenzi wa Jukwaa la Athari za Jinsia ya CGIAR, Nicoline de Haan katika mazungumzo ya “Kuwezesha Mafanikio ya Ulimwenguni Kuelekea Usawa wa Jinsia” wakati wa Wiki ya Sayansi ya CGIAR 2025. Mikopo: CGIAR na Naureen Hossain (Nairobi) Alhamisi, Aprili 10, 2025 Huduma ya waandishi wa habari NAIROBI, Aprili 10 (IPS) – Wakulima wa wanawake wanakabiliwa…

Read More

Sintofahamu yagubika upanuzi wa barabara ya Kibaha–Chalinze

Dodoma. Sintofahamu imeibuka kuhusu upanuzi wa barabara kutoka Kibaha hadi Chalinze, mkoani Pwani, kisha Morogoro, inayolenga kupunguza msongamano wa magari, lakini mradi huo haujatekelezwa kwa muda mrefu. Kwa zaidi ya miaka mitano sasa, utekelezaji wake umegubikwa na kauli za viongozi, jambo linalosababisha sintofahamu juu ya lini upanuzi huo utafanyika, licha ya changamoto zinazowakabili watumiaji wa…

Read More

Fadlu afichua siri Simba, kusajili kiungo nyota

Wakati Simba ikijihakikishia kiasi cha Dola 750,000 kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kwa kufuzu nusu fainali ya kombe la Shirikisho Afrika, kocha mkuu wa timu hiyo Fadlu Davids amefichua mipango ya kumsajili kiungo bora mshambuliaji mzawa ambaye hata hivyo hajamtaja jina. Ushindi wa mikwaju ya penalti 4-1 dhidi ya Al Masry jana…

Read More

Waziri Gwajima aishukuru Benki ya Biashara DCB kwa kuwawezesha wanawake kiuchumi

WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, ameishukuru Benki ya Biashara ya DCB katika jitihada inazoonesha katika kuwawezesha wanawake wa kitanzania kiuchumi.Pongezi hizo alizitoa katika hafla ya uzinduzi wa Kamati ya Kitaifa ya kuratibu masuala ya uwezeshaji wa majukwaa ya uwezeshaji wa wanawake kiuchumi. Katika hafla hiyo iliyofanyika…

Read More