SERIKALI YAPONGEZWA KURUHUSU MFUMO WA MNADA WA MADINI YA VITO KWA NJIA YA MTANDAO
Na Mwandishi Wetu WACHIMBAJI wa madini, wanunuzi pamoja na wadau wa madini wamepongeza serikali kuruhusu mfumo wa mnada wa madini ya vito kwa njia ya mtandao kwani unasaidia kuondoa vishawishi vya rushwa na urasimu wa baadhi ya watendaji kwakuwa umekuwa wazi na wa haki Kauli za wadau wanazitoa kwenye uzinduzi wa mnada wa kwa njia…