
Ngorongoro Heroes yaanza msako wa Afcon U20
TIMU ya taifa ya Tanzania ya vijana wa chini ya miaka 20, Ngorongoro Heroes kesho Jumatano itaanza kampeni za kusaka ubingwa kucheza fainali za Kombe ka Mataifa ya Afrika (AFCON) dhidi ya Afrika Kusini ikiwa Kundi A. Fainali za AFCON U20 zinaendelea kufanyika Misri ikishirikisha timu za nchi 13 zilizopangwa katika makundi matatu, na zimeanza…