Uchaguzi Mkuu 2025: RC Chalamila atoa maagizo kwa Ma DC, DED
Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Albert Chalamila ametoa maagizo kwa wakuu wa wilaya (DC) na wakurugenzi (DED) kukamilisha ujenzi wa vituo vya Polisi ili vianze kazi ya kujipanga na uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025. Amesisitiza ni muhimu vituo hivyo vikamilishwe haraka Polisi watawanywe watakaokuwa na jukumu la kulinda amani…