Hatimaye Mukwala kaanza | Mwanaspoti
Baada ya Mwanaspoti kuripoti namna mastaa wa zamani wa Simba wanavyotamani kuona kocha wa timu hiyo, Fadlu Davids akimuanzisha Steven Mukwala dhidi ya Al Masry na kumuweka benchi Leonel Ateba, hatimaye yametimia. Fadlu amewajibu wale wote waliotamani kumuona Mukwala akianza katika mchezo wa mkondo wa pili wa Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya robo fainali…