Ushirikiano wa THBUB na DIHR Watengeneza Uelewa Juu ya Haki za Binadamu kwa Wavuvi Wadogo
Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Patience Ntwina akizungumza leo Aprili 09, 2025 wakati akifungua mafunzo muhimu kwa watumishi wa Tume kuhusu usimamizi na matumizi endelevu ya rasilimali za bahari kwa wavuvi wadogo wadogo sambamba na kuzingatia haki za binadamu. Mafunzo haya yanafanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Four Points…