MAJENGO YA DHARURA KUONGEZEKA KUFIKA 116
****** Na WAF – Dodoma Serikali ya Tanzania imendelea kuboresha huduma za afya kwa kuongeza idadi ya hospitali zenye majengo ya kutolea huduma za dharura (EMD) kutoka 7 hadi kufikia 116 ndani ya miaka minne ikiwa ni ongezeko la hospitali 109. Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amesema hayo leo Aprili 8, 2025 wakati akifunga…